OFFICIAL ZEETOWN SOJAZ FOR UPDATE, NEWS, EVENT, STAY WITH US PAMOJA WE CAN,

OFFICIAL ZEETOWN SOJAZ FOR UPDATE, NEWS,  EVENT, STAY WITH US PAMOJA WE CAN,

ZEETOWN SOJAZ MEMBERS, KIRAKIRAMI & KING POZZA

ZEETOWN SOJAZ MEMBERS, KIRAKIRAMI & KING POZZA

Friday 28 February 2014

UNATAKA KUJUA KUHUSU ZEETOWN SOJAZ? SOMA HIII HAPA

ZEETOWN SOJAZ NI KUNDI LA MUZIKI WA HIPHOP KUTOKEA ZANZIBAR. KINDI HILI LILIANZA HARAKATI ZAKE MWISHONI MWA MWAKA 2011 LIKIWA NA MEMBER WA TATU,,(KING POZZA,KIRA KIRAMI NA CHABY SIX MASHINE) ZEETOWN ILITOKANA NA SISI WASANII WENYEWE BAADA YA KILA MMOJA KUWA NA NGOMA KALI HEWANI,KIPINDIICHO KING POZZA ANASUMBUA NA DULLA,KIRA ANASUMBUA NA OMARI NA CHABY NA NGOMA INAITWA MASHINE…IKATOKEA SIKU TUKAKUTANA STUDIO JUPITOR KILA MMOJA AKAWA ANAHAMU SANA YA KUMJUA MWENZAKE KIUNDANI ,,,TUKAPIGA SANA STORI MPAKA TUKAONA KWANINI TUSIFANYE KUNDI? TUKAKUBALIANA NA TUKAANZA KUTAFUTA JINA LA KUNDI NDIPO KING POZZA ALIPOTOA WAZO TUJIITE ZEETOWN SOJAZ COZ SISI KWA SASA NDIO MASOJAZ WA HIP HOP HAPA ZENJI ,,,,JAMAAA WAKAKUBALI TUKAANZA MCHAKATO KWA KUPIGA NGOMA YA KWANZA TULIYOMSHIRIKISHA CHIKU K WA LAFAMILIA ILIKUWA NGOMA POA SANA KWANI ONE WEEK ILIKUWA HIT HAPA ZENJI,  BAD NEWS IKAJA MWANZONI MWA MWAKA 2012 CHABI SIX TULIMUENGUA KUNDINI KUTOKANA NA SABABU ZA UVUNJANI WA SHERIA TULIZO JIWEKEA AWALI WAKATI TUNAANZA HARAKATI ZETU BUT SIO KWA BIF NDIO MAANA HADI LEO NI MSHIKAJI TU.MWAKA HUOHUO TUKAFANYA REMIX YA NGOMA TULIOMSHIRIKISHA CHIKU NA NGOMA IKAPENYA WELL,BAADAE TUKATOA NGOMA INAITWA USIOGOPE TULIMSHIRIKISHA DULLYSYKES,BAADAE TUKAFANYA NGOMA INAITWA NAKUPA KISOGO TULIMSHIRIKISHA BEN PO,MWAKA 2012 JUNE HADI 2013MARCH KUNDI LILISIMAMA KIDOGO COZ TULIKUWA NA MAMBO BINAFSI HASA KING POZZA ALIKUWA ANAMALIZIA MWAKA WAKE WA TATU CHUO NA KIRA ALIKUWA ANAMISHE FLANI BINAFSI,,MWAKA 2013 MAY TULIRUDI STUDIO NA KUREKODI UJIO MPYA ULIOITWA CHINJACHINJA NA NGOMA IKA CHINJA KWELI,,, MPAKA NOW 2014 TUMEBAKI WAWILI KING POZZA NA KIRA KIRAMI TUNAENDELEZA HARAKATI. KUHAKIKISHA MZIKI WA HIP HOP ZANZIBAR UNASIKIKA AFRICA NA DUNIA MZIMA KWA UJUMLA

0 comments:

Post a Comment